MALALA AWAONYA WABUNGE WA KENYA KWANZA DHIDI YA KUPINGA MSWADA 2024

Cleophas Malala ambaye ni katibu wa chama cha UDA amewaonya wabunge wa kenya kweanza dhidi ya kuenda kinyume na matakwa ya serikali wakati wa kujadili mswada wa fedha.
Kwa mujibu wa Malala watakaokiuka msimamo wa vyama tanzu vya kenya kwanza watachukuliwa hatua kali za kinidhamu.
Imetayarishwa na Janice Marete