KMPDU NANDI YAONYA SERIKALI
Muungano wa madaktari eneo la kaskazini mwa bonde la ufa umetoa ilani ya siku 7 kwa serikali ya kaunti ya Nandi kuwalipa madaktari 19 mishahara ya miezi ya Machi na Aprili imbayo ilisimamishwa kutokana na mgomo uliuoshuhudiwa wakati huo kote nchini.
Wakiongozwa na katibu wao tawi la eneo hilo Daktari Kamozi Mulee, madakatari hao wamesema wanaidai kaunti ya Nandi jumla ya shilingi milioni 7.
Kwa mujibu wa katibu huyo, kaunti ya nandi ina madaktari 70 ambao hawajapokea marupurupu yao ya shilingi 20,000 kwa mwezi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































