#uncategorized

KIKAO CHA KUJADILI HOJA YA KUMBANDUA LINTURIMAMLAKANI KIMEAHIRISHWA

Kikao cha kujadili hoja ya kumbandua linturi mamlakani kimeahirishwa

Kikao hicho kilichokuwa kimeratibiwa kufanyika jioni hii kimeahirishwa kutokana na kukatizwa kwa nguvu za umeme.

Seneta wa nairobi Edwin Sifuna kupitia mtandao wake wa x amefichua kwamba wamelazimika kusimamisha vikao vya seneti  vilivyoratibiwa kufanyika jioni hii “tumelazimika kusimamisha vikao vya seneti kwa sababu hakuna mamlaka katika bunge,” alisema.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *