#Local News

POLISI BARASA ‘AJIPATA PEKEE YAKE’

Huenda familia ya mchuuzi Boniface Mwangi aliyefariki kutokana na majeraha ya risasi ikapata haki baada ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma Renson Ingonga kuidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya afisa wa polisi Klinzy Masinde anayedaiwa kumpiga risasi mchuuzi huyo.

Mahakama imefahamishwa kuwa afisa huyo atashtakiwa hii leo mbele ya jaji wa mahakama kuu Kanyi Kimondo.

Hata hivyo, afisi hiyo imemwondolea mashtaka afisa wa pili Dancun Kiprono ikisema hana mashtaka

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

POLISI BARASA ‘AJIPATA PEKEE YAKE’

KAULI YA MBUNGE YASHTUA NCHI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *