#Local News

ONG’ONDO: UFICHUZI MPYA

Uchunguzi katika mauaji ya aliyekuwa mbunge wa Kasipul Ong’ondo Were umechukua mkondo mpya, waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen sasa akidai kwamba wandani wa mbunge huyo ni miongoni mwa waliohusika kumwangamiza.

Murkomen ameyasema haya katika kaunti ya Meru ambako ametoa hakikisho kuwa serikali inafanya kila iwezalo kumlinda kila mkenya.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ONG’ONDO: UFICHUZI MPYA

‘MAZURI YA MGENI’ NAROK

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *