#Local News

MGOMO WA MADAKTARI WANUKIA KERICHO

Huenda shughuli za matibabu katika kaunti ya Kericho zikatatizika ndani ya wiki mbili zijazo iwapo serikali ya kaunti hiyo haitaingilia kati na kusitisha mgomo wa madaktari ambao wametoa notisi ya siku 14.

Kupitia taarifa, viongozi wa muungano wa KMPDU wameilaumu serikali ya kaunti hiyo kwa madai ya kukosa kutekeleza mpango wa huduma uliokubaliwa, mfumo wa kurejea kazini uliotiwa Saini mwaka 2023 miongoni mwa malalamishi mengine.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MGOMO WA MADAKTARI WANUKIA KERICHO

HASARA YA MAMILIONI KUFUATIA MOTO KIAMBU

MGOMO WA MADAKTARI WANUKIA KERICHO

AHUKUMIWA MIAKA 150 KWA KUWAUA WANAWE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *