#Local News

OMBI LA GACHAGUA LA KUWASILISHWA KWA KESI DHIDI YAKE MBELE YA JAJI MKUU LAITHINISHWA NA JAJI MUGAMBI

Jaji wa mahakama kuu Laurence Mugambi ametuma baathi ya mashtaka kwa jaji mkuu martha Koome katika kesi ya kum ban dua mamlakani naibu war ais Rigathi Gachagua.

Akitoa uamuzi huo jaji Mugambi amesema kuwa jaji mkuu atabuni jopo maalum la kusikiliza kesi hizo kwa kuwa baathi ya madai yaliyoibuliwa dhidi ya Gachagua ni mazito ya na kwamba yanaweza kusikilizwa na jopo la majaji zaidi ya mmoja.

Mugambi aidha amesema kuwa amechukua hatua ya kuelekeza kesi hiyo kwa jaji mkuu kutokana na uzito wake haswa ikizingatiwa kuwa ni kesi ya kwanza ya aina hiyo kuwahi kushuhudiwa nchini na ambayo imevutia umma.

Imetayarishwa na Janice Marete

OMBI LA GACHAGUA LA KUWASILISHWA KWA KESI DHIDI YAKE MBELE YA JAJI MKUU LAITHINISHWA NA JAJI MUGAMBI

IDARA ZA SERIKALI YA KITAIFA NA KAUNTI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *