#Local News

VIONGOZI WA KISIASA WATAKIWA KUWAJIBIKIA MAJUKUMU YAO KWA WANANCHI

Viongozi wametakiwa kuwajibikia majukumu yao kikamilifu ili kuwaondolea wananchi maangako yanayotokana na uongozi duni.

Aliyekuwa Waziri wa barabara katyika kaunti ya Bungoma Collins Mukhongo amewataka viongozi kuwajibika huku akiwasuta baadhi ya viongozi wa kaunti ya Bungoma kwa ujtepetevu katika swala la miradi ya maendeleo.

Mukhongo aidha amewataka viongozi kuangazia sera muhimu zitakazolainmisha sekta ya elimu akitoa mfano wa mifumo inayotumika katika utoaji wa basari.

Imetayarishwa na Janice Marete

VIONGOZI WA KISIASA WATAKIWA KUWAJIBIKIA MAJUKUMU YAO KWA WANANCHI

AFISA WA KAUNTI YA MIGORI ACHUNGUZWA KWA

VIONGOZI WA KISIASA WATAKIWA KUWAJIBIKIA MAJUKUMU YAO KWA WANANCHI

MAAFISA WAWILI WA KDF WALIOKAMATWA KWA MAUAJI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *