NTSA YATOA WITO KWA WAKENYA KUDUMISHA USALAMA BARABARABANI
Washikadau mbali nbali katika sekta ya uchukuzi wametakiwa kuchukua tahathari za mapema ili kuhakikisha visa vya ajali ambavyo vinaweza kuzuiliwa vinazuiwa haswa msimu huu wa krismasi.
Mshirikishi wa mamlaka ya kitaidfa ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA tawi la Nyanza Isaac Silali ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na idara husika ili kudumisha usalama barabarani.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































