UHABA WA MATABIBU WAATHIRI HUDUMA ZA AFYA
Uhaba wa matabibu nchini umeathiri huduma za afya kwa wakenya serikali ikitakiwa kuajiri wahudumu hao Zaidi. Wakiongea kwenye kongamano linaloendelea huko Mombasa wanasema idadi ya wagonjwa wanaohudumiwa na tabibu mmoja iko juu zaidi ikilinganishwa na kiwango kilichowekwa na shirika la afya duniani WHO. Wanasema kutokana na uhaba huo wagonjwa mara nyingi hutumwa katika vituo vingine […]
English 





































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































