#Local News

WANAFUNZI WA GREDI YA TISA WAHAKIKISHIWA KUSOMA BILA MATATIZO YOYOTEKUSOMAWANAFUNZI WA GREDI YA TISA WAHAKIKISHIWA KUSOMA BILA MATATIZO YOYOTE

Wanafunzi wa gredi ya tisa wamehakikishiwa kuwa wataendelea na masomo yao bila tatizo lolote mwaka ujao.

Serikali ya kitaifa imeweka mikakati kufanikisha ujenzi wa madarasa 16000 katika shule mbali mbal.i nchini kabla ya mwezi jan uari mwaka ujao, hay ani kwa mujibu wa naibu mkuu wa wafanyikazi katika afisi yar ais Eliud Owalo.

Owalo ameongeza kuwa mpango huo unalenga kutatua tatizo la uhaba wa madrasa katika shule nyin gi za umma humuj nchini.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *