#Local News

MWANGAZA MAHAKAMANI AKIPINGA KUAPISHWA KWA GAVANA MPYA

Kawira Mwangaza amewasilisha rufaa akipinga kuapishwa kwa Mutuma kama Gavana wa Meru, akidai hakutendewa haki na Mahakama Kuu.

Wakati huohuo, mwanaharakati Mike Makarina pia ameenda mahakamani akipinga uapisho huo, akisema umeharakishwa kinyume na utaratibu wa siku 10 baada ya kiti cha gavana kuwa wazi

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *