#Local News

MAAFISA WA KAUNTI 47 WASAFISHWA NA EACC

Msemaji wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC Erick Ngumbi amesema kuwa tume hiyo imeanzisha uchunguzi wa mitindo ya maafisa wa kaunti zote 47 ili kuwachukulia hatua maafisa wanaojihusisha na ufisadi.

Ngumbi aidha ameongeza kuwa hatua hiyo inafuatia Sakata ya ufisadi ambayo imefichuliwa katika kaunti ya Bomet ambapo jumla ya shilingi milioni 372 zimefujwa.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *