#Local News

HUDUMA ZA AFYA YA AKILI KUTOLEWA KWOTE

Huduma za afya ya akili zitatolewa katika vituo vyote vya afya baada ya wabunge kuithinisha hoja kuhusu kuundwa kwa utoaji wa huduma za afya katika vituo vyote vya huduma za afya.

Hoja hiyo iliyowasilishwa na mbunge wa likoni Mishi Mboko inaiagiza serikali ya kitaifa na kaunti kushirikiana na kubuni sera inayojumuisha huduma za afya ya akili katika vituo vyote vya afya vya humu nchini.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *