#Local News

RUTO APONGEZA MFUMO WA KUFADHILI VYUO VIKUU

Rais William Ruto amesema kuwa mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo vikuu unafanya ka zi inavyotarajiwa.

Akizungumza baada ya kikao na wasimamizi wa vyuo vyote vikuu nchini, Rais amesema ndani ya miaka mitatu ijayo, masaibu ya kifedha yanayovikabili vyuo vikuu hayatakuwepo tena.

Aidha, amesisitiza nia ya serikali kuongeza mgao wa bajeti kwa vyuo vikuu vya umma.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO APONGEZA MFUMO WA KUFADHILI VYUO VIKUU

WAFUNGWA KWENYE KESI YA THUO KUHUKUMIWA JUNI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *