#Local News

SERIKALI KUSAKA SULUHU KWA ‘CHOKORAA’

Serikali ya kitaifa na ile ya kaunti ya Mombasa zinafanya mazungumzo kuhusiana na mbinu ya kuzihudumia familia za mitaani, hatua ambayo huenda ikaleta afueni kwa familia hizo.

Haya ni kulingana na kamishna wa kaunti hiyo Mohammed Noor, ambaye amesema kwamba familia za mitaani ni miongoni mwa vyanzo vya kudorora kwa usalama kwenye kaunti hiyo.

Noor amesema kwamba wanalenga kubaini maeneo salama ambako shughuliz hizo zitafanyika.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI KUSAKA SULUHU KWA ‘CHOKORAA’

WAKAZI WEBUYE ‘HAWATAKI’ TRELA

SERIKALI KUSAKA SULUHU KWA ‘CHOKORAA’

FORD KENYA YAKANA KUVUNJWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *