#Local News

WAKAZI AMAGORO WALALAMIKIA UHALIFU

Wakazi wa eneo la Amagoro kaunti ya Busia wamelalamikia kudorora kwa biashara kutokana na ongezeko la visa vya uhalifu vinavyowalazimu kufunga biashara zao mapema.

Wakazi hao wamehofia kuongezeka kwa uhalifu huo kutokana na madai kwamba kituo cha doria cha Amagoro kinalengwa kuhamishwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *