HATUTIKISIKI, KINDIKI AAPA KUHUSU MIRADI YA SERIKALI
Licha ya ukosoaji mkali dhidi ya baadhi ya sera na miradi ya serikali, naibu rais Kithure Kindiki amesema kuwa serikali ya Kenya Kwanza ipo tayari kufanya maamuzi magumu kuhusiana na utekelezaji wa miradi na sera zake.
Kwenye kikao na wakenya wanaoishi nchini Namibia, Kindiki amesema serikali imejitolea kuimarisha sekta muhimu ili kufufua uchumi ambao umedorora licha ya hatua hiyo kutishia kuhatarisha umaarufu wa serikali hiyo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































