PESA ZA AFISI ZETU ZIKO WAPI? MCA BUNGOMA WALALAMA
Wawakilishi wa wadi wateuli katika bunge la kaunti ya Bungoma wanalalamikia hatua ya wabunge wa kaunti hiyo kuwanyima fedha za kuwaajiri wafanyikazi katika afisi zao licha ya fedha hizo kutengwa katika bajeti hatua ambayo kulingana nao imelemaza shughuli za maendeleo katika afisi zao.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































