LSK YATOFAUTIANA NA UAMUZI WA MAHAKAMA
Chama cha mawakili nchini LSK kimekosoa uamuzi wa Jaji Laurence Mugambi kwamba wanajeshi wa KDF wahusishwe katika kuwakabili waandamanaji.
Kwa mujibu wa rais wa LSK Faith Odhiambo utaratibu uliotumika kuwatuma wanajeshi hao ulikiuka katiba huku akisikitikia uamuzi wa mahakama.
Odhiambo amesema kuwa uamuzi wa jaji Mugambi huenda ukasababisha visa vya uvunjaji sheria.
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































