CHERARGEI AKEJELI JUHUDI ZA UPINZANI
Uzinduzi wa vyama vipya vya kisiasa kwa lengo la kumbandua Rais William Ruto mamlakani kwenye uchaguzi mkuu ujao umepuziliwa mbali, baadhi ya viongozi wakisema kubuniwa kwa vyama hivyo ndiko hasa kutakakomfanikisha kuchaguliwa tena.
Akizungumza na wanahabari, seneta wa Nandi Samson Cheragei ambaye ni mwandani wa Rais Ruto, amesema vyama hivyo vinakosa sura ya kitaifa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































