#Local News

MOSHI WA UFISADI WAFUKA KOTE

Madai ya ufisadi dhidi ya wabunge yaliyoibuliwa na Rais William Ruto yameendelea kuibua mijadala nchini, baadhi ya washikadau wakitilia shaka kauli hizo na kujitolea kwa rais kuangamiza ufisadi.

Kwenye mahojiano na runinga moja nchini, waziri wa zamani Mukhisa Kituyi, amemlaumu Rais Ruto kutokana na visa vya ufisadi vinavyoshuhudiwa nchini.

Amemtaka Rais kuamuru kesi za ufisadi alizoamuru ziondolewe mahakamani zirejelewe.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MOSHI WA UFISADI WAFUKA KOTE

AFC LEOPARDS WANYEMELEA OKELLO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *