IEBC: VIJANA HAWAJUI UMUHIMU WA KURA
Idadi ndogo ya wapiga kura wapya waliojitokeza kusajiliwa katika kipindi cha zaidi ya miezi 2 iliyopita imeibua hofu kuhusu kujitolea kwa vijana kushinikiza mageuzi, tume huru ya uchaguzi na mipaka ikisema imewasajili wapiga kura 148,000 pekee.
Kwenye ripoti yake, IEBC iliyoandaa jukwaa la kufanya tathmini ya zoezi la chaguzi ndogo zilizopita, imesema vijana bado hawajakumbatia umuhimu wa kushiriki kura.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































