UMEME KUKATIKA KAUNTI YA NYERI
Kampuni ya kusambaza umeme nchini imetangaza kukatika kwa umeme hii leo katika sehemu tofauti za kaunti ya Nyeri kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni.
Baadhi ya maeneo yatakayo athirika ni gachatha, wamagana, na kariguini.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































