#Local News

IMLU YAONYESHA MADHILA DHIDI YA RAIA

Mwaka huu wa 2025 umekuwa mwaka mbaya zaidi wa ukiukaji wa haki za kibinadamu nchini, Kenya ikiorodheshwa kuwa miongoni mwa mataifa yaliyoshuhudia ukiukaji mkubwa wa haki za kibinadamu uliotekelezwa pakubwa na maafisa wa usalama.

Haya ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la IMLU, inayoonyesha kuwa zaidi ya watu 100 waliuawa kiholela, wengine 1,500 wakikamatwa bila hatia mwaka huu pekee.

Naye jaji mkuu Martha Koome amehimiza utiifu wa maagizo ya korti.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

IMLU YAONYESHA MADHILA DHIDI YA RAIA

POLISI WALIOREJEA WATAJA UFANISI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *