WANAFUNZI WA CHUO CHA KITAIFA CHA KIUFUNDI BUNGOMA WAANDAMANA

Wanafunzi wa chuo cha kitaifa cha kiufundi cha Bungoma wanalalamikia kuongezwa kwa kodi ya kukodi vyumba vya malazi tangu chuo hicho kupandishwa hadhi kuwa chuo cha kitaifa, huku wakiwataka wamiliki wa vyumba hivyo kufikiria uamuzi wao kutokana na ugumu wa MaishaWanafunzi hao vile vile wamewataka viongozi kuingilia kati ili kumwachilia kuiongozi wa wanafunzi anayezuiliwa na maafisa wa polisi kwa kuongoza maandamano kupinga kodi hiyo mpya.