RAIS BORA ZAIDI NI MIMI, RUTO ATANGAZA
Mimi ndiye rais bora zaidi ambaye amewahi kuiongoza Kenya tangu kupatikana kwa uhuru, nikiwa rais wa pekee mwenye shahada ya Uzamivu.
Ndiyo kauli ya rais William Ruto, akizungumza baada ya kupokea viongozi kutoka kaunti ya Tharaka Nithi katika Ikulu ya Nairobi, ambako alizindua mipango ya ukarabati wa daraja lenye maafa la Nithi.
Rais amesema yeye ni bora zaidi ya watangulizi wake wote kwa Pamoja.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































