#Local News

MGOMO WA WAHADHIRI WACHUKUA MKONDO WA KISIASA

Serikali imetakiwa kuangazia kwa haraka changamoto zinazoikabili sekta ya elimu ukiwemo mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma ambao umeingia wiki ya 3 na kulemaza shughuli za masomo katika vyuo hivyo.

Katika kikao na kundi la wanafunzi wa vyuo vikuu, viongozi wa upinzani wakiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka na mbunge wa Embakasi East Babu Owino, wamesema changamoto hizo ni ishara ya serikali kuipuuza sekta hiyo muhimu.

Aidha, wamelalamikia mfumo wa ufadhili wa elimu ya juu wanaosema unawaonea wanafunzi wanaosomea kozi za sayansi na ufundi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MGOMO WA WAHADHIRI WACHUKUA MKONDO WA KISIASA

ZAIDI YA MILIONI 26 WAKO SHA- DUALE

MGOMO WA WAHADHIRI WACHUKUA MKONDO WA KISIASA

ODIRA AANGAZI MASHINDANO YA COMMON WEALTH

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *