SERIKALI YALINDA HAKI NA USALAMA WA WAHAMIAJI
Wahamiaji wana mchango mkubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi, hivyo serikali imeanzisha mikakati ya kuimarisha usalama wao.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Idara ya Uhamiaji, George Owili, juhudi hizi zinajumuisha kulinda haki za raia wa kigeni wanaoingia nchini pamoja na Wakenya wanaosaka ajira nje ya nchi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































