#Local News

WASALITI NAMBA MOJA; LSK WAAMBIA WABUNGE

Chama cha wanasheria nchini LSK kimewasuta wabunge wa bunge la kitaifa kwa madai kwamba wamewafeli wakenya.

Kwa mujibu wa rais wa LSK Faith Odhiambo wabunge wamekuwa wakitumika kutimiza ajenda za serikali badala ya kutimiza agenda za mwananchi mpiga kura.

Odhiambo vile vile ametumia fursa hiyo kuwasuta viongozi na serikali kwa jumla kwa kupelekea wakosa kukosa imani nao hatua ambayo imepelekea wao kuandamana.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *