#Local News

GACHAGUA: RUTO HAFAMU CHANGAMOTO ZA NCHI

Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amemkosoa Rais William Ruto kwa kuzilaumu taasisi mbali mbali na kuzihusisha na maandamano yanayoongozwa na vijana wa kizazi cha Gen Z.

Akizungumza katika jimbo la Massachusetts nchini Marekani, Gachagua amesisitiza haja ya Rais William Ruto kuondolewa mamlakani ifikapo mwaka wa 2027.

Gachagua amedai kuwa Rais Ruto hana ufahamu kuhusu changamoto zinazoikabili nchi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA: RUTO HAFAMU CHANGAMOTO ZA NCHI

UJUMBE WA RUTO KWA WAKOSOAJI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *