#Local News

ELIJAH WACIRA: WIZARA YA AFYA YAKOSOLEWA

Hatua ya wizara ya afya kumtimua afisa mkuu mtendaji wa bodi ya bima ya afya Elijah Wacira imeibua hisia mseto, maafisa wa kiliniki wakiwa wa hivi punde kuikosoa wizara hiyo wakisema uamuzi huo si suluhu kwa matatizo yaliyo kwenye bima hiyo.

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kitaifa Peterson Wacira, ufisadi umekithiri katika wizara ya afya huku akidai kuwa wizara hiyo imezembea kazini.

Aidha, Wacira amependekeza kuvunjiliwa mbali kwa bodi ya bima ya SHA.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ELIJAH WACIRA: WIZARA YA AFYA YAKOSOLEWA

POLISI WAATHIRWA WAKUBWA, KANJA AFICHUA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *