X-SPACE YA RUTO NA GEN Z HAIJASHAURIWA –KIPRUTO ARAP KIRWA
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo Kipruto Arap Kirwa amesema kuwa mpango wa Rais William Ruto wa kufanya mkutano katika mtandao wa wa X-Space na Gen Z sio ushauri sawa.
Kwa mujibu wa Kirwa Rais lazima aache kuwa katikati ya kila jambo ambalo haliendi sawa nchini na Kusisisitiza kuwa lazima ajue kuwa hawezi kutatua kila changamoto inayoikabili nchi.
Waziri huyo wa zamani, hata hivyo, amemshauri rais kutafuta njia ambayo serikali inaweza kuwajumuisha vijana katika vyombo vyake.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































