#Local News

IEBC YATETEA URATIBU WA CHAGUZI

Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC imetoa maelezo kuhusiana na uamuzi wake wa kuratibu chaguzi ndogo kufanyika tarehe 27 mwezi Novemba.

IEBC ikijibu maswali yaliyoulizwa na wakenya mbali mbali, imesema kuwa tarehe zilizowekwa awali ni zaidi ya muda hitajika wa siku 90 kama katiba inavyohitaji.

Aidha tume hiyo imesema kuwa imeongozwa na katiba katika kufanya uamuzi huo mbali na kuangazia na kuona kuwa vituo vya kupigia kura vitakuwepo baada ya shule kufungwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

IEBC YATETEA URATIBU WA CHAGUZI

FAMILIA MURANG’A YALILIA HAKI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *