#Local News

GACHAGUA: BUNGE LAPIGWA JEKI

Juhudi za bunge la kitaifa kutetea tuhuma zake dhidi ya naibu rais Rigathi Gachagua zimepigwa jeki baada ya gavana wa Siaya James Orengo kuruhusiwa kuongoza kikosi cha mawakili wanaoliwakilisha bunge hilo dhidi ya Gachagua katika bunge la seneti.

Akitoa uamuzi huo, spika wa seneti Amason Kingi, amepinga ombi la mawakili wa Gachagua waliomtaka Orengo kujiondoa kwa misingi kwamba yeye ni afisa wa umma.

Uamuzi wa Kingi umejiri baada ya mawakili wa Gachagua wakiongozwa na Ndegwa Njiru, wametaka Orengo kuzuiwa wakihofia kwamba uwepo wake kwenye kesi hiyo utaathiri matokeo ya kesi dhidi ya mteja wao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA: BUNGE LAPIGWA JEKI

GACHAGUA AKANA MASHTAKA YOTE 11

GACHAGUA: BUNGE LAPIGWA JEKI

IMPALA RFC WAKO TAYARI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *