#Local News

RAIS RUTO AZINDUA MRADI WA NISHATI YA SOLA MAGETA

Wakaazi wa kaunti ya siaya eneo la kisiwa cha mageta wanatarajiwa kunufaika na mradi wa nishati ya sola ambao umezinduliwa na rais William Ruto katika eneo hilo.

Akihutubu wakati wa uzinduzi wa mradi huo ambao utagharimu kima cha shilingi milioni 230 rais Ruto amefichua kuwa mradi huo unalengo la kuhakikisha kwamba wakaazi wa eneo hilo wanapata nguvu za umeme.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *