#Local News

RAIS RUTO AMWOMBOLEZA MALULU

Rais William Ruto amehusisha hatua zilizopigwa katika sekta ya elimu na aliyekuwa mbunge wa Malava Malulu Injendi, akisema walishirikiana ili kutatua changamoto zilizokuwa zikivikumba vyuo vikuu nchini.

Rais ameyasema haya kwenye hafla ya mazishi ya mbunge huyo katika eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega, akimtaja kuwa shujaa wa imani.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RAIS RUTO AMWOMBOLEZA MALULU

UGONJWA TATA KISII WAANZA KUBAINIKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *