#Local News

MWANANGU YUKO WAPI?

Familia moja eneo la Shikanganye katika kaunti ndogo ya Eshichira eneo bunge la Lurambi kaunti ya Kakamega inaishi kwa hofu baada ya mwanao kwa jina Bravin Amenya ambaye ni mwanafunzi wa gredi ya tano katika shule ya musingi ya Lurambi kupotea siku ya jumapili mwendo wa saa mbili usiku.

Kwa mujibu wa mamake ambaye ni mfanyibiashara ameeleza kwamba anahisi kupotea kwa mwanawe kutoka nyumbani kumetokana na kuhofia kuwa angeadhibiwa kutokana na kutumia simu yake ambayo alikuwa amemkanya kuitumia.

Imetayarishwa na: Janice Marete

NANI KAAMUUA MWALIMU NDEDA?

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *