NYANZA WARITHISHWA NA UTEUZI WA OWALO

Wakaazi wa eneo la Nyanza wameeleza kurithishwa na uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa habari na teknolojia Eliud Owalo kuhudumu kama naibu mkuu wa idara ya utekelezaji wa huduma katika afisi ya rais.
Imetayarishwa na Janice Marete