#uncategorized

UMOJA WA MATAIFA WATOA MAFUNZO KWA POLISI WA KENYA NCHINI HAITI

Umoja wa mataifa umeanza vikao vya mafunzo kwa maafisa wa polisi wa Kenya waliotumwa nchini Haiti kupambana na magenge ya wahalifu.

Umoja wa mataifa wa haki za kibinadamu umechukua timu ya ujumbe wa Msaada wa usalama wa kimataifa kupitia mfumo wa uzingatiaji, ambao unalenga kuunganisha kanuni za haki za binadamu na sheria za kimataifa za kibinadamu katika kupanga, kuendesha na kutathmini shughuli za usalama.

Wakati wa tukio la Agosti 1 huko Port-au-Prince, maafisa hao pia walichukuliwa kupitia viwango vya kimataifa na mazoea mazuri ya matumizi ya nguvu hasa yanayohusiana na misheni ya MSS nchini Haiti.
Haya yanajiri huku timu ikifahamishwa kuwa magenge yamekuwa yakizozana na kuwakalia.

Hii inafuatia msururu wa matukio ambapo maafisa hao wamechukua maeneo ambayo magenge hayo yalikuwa yakiendesha shughuli zake.

Imetayarishwa na Janice Marete

UMOJA WA MATAIFA WATOA MAFUNZO KWA POLISI WA KENYA NCHINI HAITI

CHUNGA KUPOTEZA KAZI NDANI YA MWAKA MMOJA;

UMOJA WA MATAIFA WATOA MAFUNZO KWA POLISI WA KENYA NCHINI HAITI

AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KIAMBU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *