WALIMU 1,200 WA CHEKECHEA WAPATA AJIRA YA KUDUMU
Walimu 1200 wa shule za chekechea kaunti ya Pokot Magharibi wamepata ajira ya kudumu.
Katika hafla ya kuwapokeza walimu hao barua zao za ajira gavana Simon Kachapin anasema kuwa walimu wa shule za chekechea ni nguzo kuu katika elimu ya mtoto
Imetayarishwa na Janice Marete
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































