#Local News

MPANGO WA SHA KUBORESHWA

Wakenya wataanza kufaidi zaidi na mpango wa bima ya afya wa SHA baada ya wizara ya afya kuanzisha mpango wa kuuboresha.

Afisa mkuu anayesimamia mpango huo Dkt Mercy Mwangangi ameelezea masikitiko yake kuwa wengi wa wakenya hawaelewi manufaa yanayotokana na mpango huo.

Mwangangi ameanza rasmi kutekeleza majukumu yake kama msimamizi wa bima hiyo.

Imetayarishwa na Maureen Mukhobe

MPANGO WA SHA KUBORESHWA

ROSE NJERI AACHILIWA KWA DHAMANA.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *