#Local News

JARIBU TENA UTAJUTA; WAKAAZI WA TURKANA YA KATI WAMWONYA MBUNGE WAO DHIDI YA KUFUATA SERIKALI

Baadhi ya wakaazi wa eneo bunge la turkana ya kati wamejitokeza kukubali msamaha wa mbunge wa eneo hilo baada ya kuwaomba msamaha kwa kuunga mkono mswada wa fedha.

Wakaazi hao aidha wamemwonya kutoweka maslahi yake binafsi mbele na badala yake kuyapa kipaumbele maslahi ya wananchi waliomchagua.

Imetayarishwa na Janice Marete

JARIBU TENA UTAJUTA; WAKAAZI WA TURKANA YA KATI WAMWONYA MBUNGE WAO DHIDI YA KUFUATA SERIKALI

MARUFUKU YA MAHAKAMA KWA POLISI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *