#uncategorized

MANOAH ESIPISU AJIONDOA KAMA KAMISHNA MKUU WA KENYA NCHINI UINGEREZA

Aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Manoah Esipisu ameacha kazi yake kama Kamishna Mkuu wa Kenya nchini Uingereza baada ya kuhudumu kwa miaka sita..

Katika taarifa kwenye mtandao wa kijamii, Esipisu ametangaza kwamba anaondoka katika eneo maarufu la 45 Portland Place London, ambako aliteuliwa na aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta.

“Leo naaga eneo maarufu la No. 45 Portland Place London. Wafanyakazi wazuri, Wakati mzuri, Shukrani kwa Rais William Ruto kwa kunihifadhi katika wadhifa huo na kushukuru kwa fursa ya kutumikia serikali katika diplomasia na mawasiliano,” Esipisu alisema.

WALIMU WA JSS WAANDAMANA KOTE NCHINI

RAIS RUTO AONGOZA KUAPISHWA KWA MAJAJI 20

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *