SI MIMI WALLAHI, ALAI
Mwakili wa wadi ya Kileleshwa Robert Alai, amejitenga na hoja ya kutaka kumbandua kutoka mamlakani gavana wa Nairobi Johnson Sakaja akisema hana ufahamu jinsi mswada huo ulivyoanzishwa.
Kupitia mtandao wa kijamii, Alai, amekana kuwa mwasisi wa mswada huo, ambao wawakilishi wadi 96 wa bunge la kaunti ya Nairobi wametangaza kuunga mkono.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































