#Local News

MGOMO WA WAHADHIRI WAINGIA SIKU YA 2

Shughuli za masomo katika vyuo vikuu vya umma zinatarajiwa kusambaratika kwa siku ya 2 hii leo kufuatia mgomo wa wahadhiri licha ya serikali kutoka shilingi bilioni 2.5 kutatua malalamishi ya wahadhiri.

Wahadhiri kupitia kwa miungano yao ya UASU na KUSU, wameshikilia kuwa hawatarudi kazini hadi makubaliano yao yam waka 2021-2025 na serikali yatakapotekelezwa kikamilifu.

Walioathirika pakubwa ni wanafunzi wa mwaka wa kwanza, ambao walikuwa wameratibiwa kuanza masomo yao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MGOMO WA WAHADHIRI WAINGIA SIKU YA 2

WANAFUNZI HEWA WAIPUNJA SERIKALI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *