#Local News

KOOME ASEMA SABABU YA KUTOFUNGA MAHAKAMA

Jaji mkuu Martha Koome ameziagiza mahakama zote kurejela shughuli zao Jumatano Wiki hii, baadaa ya kusitisha shughuli zao wiki jana kufuatia kifo cha hakimu mkuu wa mahakama ya Makadara Monica Kivuti.

Katika taarifa hii leo, Koome amesema licha ya idara hiyo kuwa bado kwenye kipindi cha maombolezo, itarejelea shughuli hizo katika kumuenzi mwendazake kwa kuhakikisha utoaji haki unaendelea.

Iadara ya mahakama imetenga kesho kuwa siku ya kumwomboleza na kumkumbuka na kumwombea heri hakikumu Kivuti.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KOOME ASEMA SABABU YA KUTOFUNGA MAHAKAMA

SOMALIA KUJIUNGA NA EAC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *