#Local News

RUKU AWAHAKIKISHIA WAKAZI WA TANA RIVER MSAADA WA SERIKALI

Waziri wa utumishi wa umma  Geoffrey Ruku amewahakikishia wakazi wa kaunti ya Tana river ahadi ya serikali ya kusaidia familia zilizoathiriwa na hali mbaya ya ukame .

Akizungumza wakati wa usambazaji wa chakula cha msaada, waziri huyo amesema serikali inafanya kazi kusaidia familia 180 .

Ruku amebainisha kuwa utoaji wa chakula cha msaada umehitajika kutokana na ukame unaoendelea, na kuziacha familia nyingi zikijitahidi kukidhi mahitaji yao ya msingi.

Imetayarishwa na Jones Koikai

RUKU AWAHAKIKISHIA WAKAZI WA TANA RIVER MSAADA WA SERIKALI

WAHALIFU WAWILI WAKAMATWA KISUMU

RUKU AWAHAKIKISHIA WAKAZI WA TANA RIVER MSAADA WA SERIKALI

MZOZO WA ARDHI TRANSMARA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *