#Local News

MZOZO WA ARDHI: WAKAZI MAKUENI WAHAMAISHWA

Serikali ya kaunti ya Makueni imetoa hamasisho kwa wakazi kuhusiana na sheria za urithi wa ardhi kama njia mojawapo ya kumaliza mizozo ya ardhi ambayo imekithiri kwenye kaunti hiyo.

Imebainika kuwa wengi wa wakazi hawana hatimiliki za mashamba wanamoishi kutokana na ukosefu wa ufahamu kuhusu utaratibu wa kupata stakabadhi hizo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MZOZO WA ARDHI: WAKAZI MAKUENI WAHAMAISHWA

CHANGAMOTO ZA MDHIBITI WA BAJETI

MZOZO WA ARDHI: WAKAZI MAKUENI WAHAMAISHWA

RUTO ‘APIGA JEKI’ MASOMO MATHARE

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *