WANAFUNZI WASIOJIWEZA WATAPEWA BASARI KAUNTI YA BUNGOMA

Wanafunzi katika kaunti ya Bungoma wanatarajiwa kunufaika na basari kufuatia fedha ambazo kaunti hiyo imetenga kwa ajili ya kutoamsaada wa basari kw a wanafunzi ambao wametoka katika familia zisizojiweza
kaunti ya Bungoma imetenga kima cha shilingi milioni 180 kufanikisha elimu ya Watoto wasiojiweza
afisa katika wizaara ya elimu Sam Nalwa amesema kuwa serikali ya kaunti imejitolea kuimarisha viwango vya elimu katika kaunti hiyo.
Imetayarishwa na Janice Marete